TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Walichokisema Migos Kuhusiana Na Beef Lao & Chris Brown

Baada ya kuwa na ugomvi mkubwa mpaka kufikia kupigana Migos pamoja na Chris Brown,Hatimaye Off Set mmoja wa anayeliunda kundi la Migos Offset amefunguka kuhusiana na Beef nzima.

Off Set alifanyiwamahojiano na TMZ na kusema kwamba,"Sijui kiu gani kinaendelea na naweza nikasema ni ujawaji wa chuki tu,Hatuna Beef,We dont want no smoke,Sisi tupo juu na sijui chochote kinachoendelea na mtu yeyote,tunachojua tutashinda tu." 


EmoticonEmoticon