Baada ya msanii wa Tanzania Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz kufanya powa na Chibu Perfume,Hatimaye amerudi na product nyingine mpya inayojulikana kwa jina la DIAMOND KARANGA
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond alitambulisha product hizo mpya na kuweka bei yake ambapo ni shilingi 300 kwa kila pakiti moja na Jumla kwa Boks ni shilingi 20,000.
Post ya Chibu ilikuwa inasomeka, "Am glad to inform you that i launched my new Product called @DiamondKaranga (Diamond Peanuts) which will be available in East Africa for 300/= Tanzanian Shilling retail Price and 20,000/= Wholesale Price .....
(Leo nimezindua Bidhaa yangu mpya iitwayo @Diamondkaranga ambayo itakuwa inapatikana Madukani kote Africa Mashariki nzima kwa shilingi miatatu tu (300/=) bei ya rejareja kwa pakiti moja... na shilingi elf ishirini (20,000) kwa boksi moja lenye pakiti Mia moja (100) ndani ambazo ukiuza unapata faida ya elf kumi... Karanga hizi nazinunua kwa wakulima kutoka mikoa ya DODOMA, MTWARA, TABORA n.k.... kisha kuziongezea njonjo na kuzipakia katika pakiti za kisasa, ili mtu mwenye hadhi yoyote aweze kutembea nazo popote atakapo... ) usiseme tena Karanga sema DIAMOND KARANGA!!!!"
Diamond aliweza pia ku post kwa wale ambao wapo mikoani na wanataka kuchukua mzigo kwa nei ya Jumla na ni faida gani wanaweza kupata,"MOMBASA +254700187727
DAR ES SALAAM
-KINONDONI 0657748554
-ILALA 0655201244
-TEMEKE 0715174884
-ARUSHA 0754447715
-UBUNGO 0764657570
-TEGETA 0764657570
-WENGINE 0714993724
MOSHI 0654447715
MBEYA 0789082977
MBEYA 0784745949
MBEYA 0784227882
MOROGORO 0717487246
TANGA 0653587793
LINDI 0785294790
MTWARA 0784786070
ZANZIBAR 0655424005
PEMBA 0655424005
IRINGA 0657868047
MWANZA 0784790490
MWANZA 0766500639
DODOMA 0713471683
SONGEA 0717767021
— Mulla Star (@mullastar255) June 30, 2017
EmoticonEmoticon