TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Ludacris Ame Confirm Kuwa Beef Lake Na Drake Limekwisha Now

Mmambo yaliyokuwa yanaendelea kati ya Jamaa wawili Luda pamoja na Drake ilikuwa ni Beef ambalo lilianza kitambo bt baada ya ku host Billboard Music Awards mambo yalionekana kwao kukaa sawa baada ya Drake ku accept tuzo na kutoa Speech akisema,"Luda hatujawahi kuonana macho kwa macho lakini nimekuwa shabiki yako mkubwa sana na ninao upendo mkubwa sana kwako na nimetaka ujue hilo nikiwa hapa tunaonana uso kwa Uso."

But Luda ame confirm kuhusiana na Taarifa za Beef zito kati yake na Drake kwamba limeisha.
Luda aliiambia New York Daily News kwamba "Yeah kila kitu kiko powa na tumekuwa na maongezi ya Pamoja ya kuhusu kipindi cha nyuma kabla ya Tuzo hizi za mwaka huu za BBMA"

Now that Luda’s confirmed the end of their beef, consider it completely done.


EmoticonEmoticon