TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Ariana Grande Anaungana Na Vichwa Hivi Kuwachangia Waathirika Wa Bomu Manchester

Baada ya tukio la kigaidi lilofanyika Manchester na kuua takribani watu 22, Nyota Ariana Grande aamua kushirikiana na wasanii kama Justin Bieber, Katy Perry, Miley Cylus na Pharrell kupiga show ya kuwachangia waliopatwa na matatizo ya bomu hilo.
Show iliyopewa jina la ‘One Love” huko Manchester itafanyika katika uwanja wa cricket Old Trafford ambapo uwanja huo unauwezo wa kukusanya watu takribani 50,000 huku tukio hilo linatarajiwa kurushwa na  BBC TV pamoja na radio.


EmoticonEmoticon