TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Kumbe Meek Mill Naye Anaikubali Ngoma Ya Back To Back Ya Drake Ambayo Ni Diss Kwake.Tazama Video


Kama utakuwa una kumbukumbu vizuri October 2016 katika kipindi cha Tax Season Meek Mill alikiri kwamba Track ya Back To Back aliyoiimba Drake kama Diss kwake ni Hot.So Meek huwa anakiri na kusema kweli toka moyoni

Weekend hii Rapper Meek alishare video katika snapchat akiwa ndani ya Lamborghini yake akisikiliza ngoma ya Back To Back ya Drake huku akiwa ameandika maandishi yanayosomeka,“I play this for motivation,Back 2 back aventadors.”(Nimeicheza nyimbo hii kwa Motisha)


EmoticonEmoticon