TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Rumors | Quavo & Karrueche Waendeleza Mahaba (Tetesi)

Kama una kumbukumbu utakumbuka mwezi wa Nne(4) Karrueche Tran aliyekuwa mpenzi wa Chris Brown walionekana wakiongozana na Quavo wa kundi la Migos na picha kusambaa katika mitandao ya kijamii bt Quavo aliweza kukanusha tetesi za kuwa hakuna uhusiano baina yao wawili zaidi ya urafiki
Bt May 26 siku ya Ijumaa usiku Migos walikuwa wakiperfome katika Night Club inayoitwa Story huko Miami Beach na Camera ziliweza kumnasa mrembo Karrueche Tran akiwa amekaa chini ya Quavo akiangalia shoo
Time Hii hakuna Lolote Linaloendelea Kweli kati yao?????

TAZAMA VIDEO HAPO CHINI


EmoticonEmoticon