TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Nikki Wa Pili Aaandika Haya Kuhusiana Na Muziki Katika Platform Ya Wasafi

Finally Rapper Nikki wa Pili ameongelea swala la uuzaji wa muziki na kununua katika account ya Wasafi.

Nikki ameandika katika ukurasa wake wa Twitter,"Watanzania hawapendi kununuwa muziki, platform kama wasafi haita leta tija, kama bado unataka kupata wimbo bure kwenye ma group ya wasap"


EmoticonEmoticon