CEO wa Cash Money,'Birdman' ameomba radhi mbele ya mashabiki na Lil Wayne mwenyewe kwenye shoo ya Lil Weezyana huko New Orleans weekend hii hapa Jumamosi (Aug. 25).
Birdman alichukua mic ukumbini hapo na kuanza kuomba msamaha kwa Lil Wayne huku crowd ya mashabiki zaidi ya maelfu wakishuhudia kitendo hicho.
Birdman alisema,"Nilijua siku hii itafika but sikujua ni lini But this ni**a right here, the best ni**a, the realest ni**a, the illest ni**a. And I wanted to apologize to my ni**a worldwide.”
Baada ya msamaha huo hapotutegemee kuona Carter V ya Lil Wayne inaingia sokoni ndani ya mwaka huu cs ipo ndani ya mikono ya Label,Cash Money ambayo inamilikiwa na Birdman
EmoticonEmoticon