TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Tekno Amesema Ishike Tarehe Ya Leo Kwa Hili Jambo Kubwa Alilolisema

Hit maker wa Jogodo ameahidi jambo kubwa katika ukurasa wake wa Twitter ambalo limefanya mashabiki washike alichokisema siku na tarehe ya Leo.

Kupitia account ya Tekno ya Twitter ameandika,"Be rest assured, am gonna win the Grammys One day.. mark this date"
Akimaanisha kwamba siku moja atashinda tuzo kubwa duniani za Grammy ambazo huwa zinafanyikaga January kila mwaka.

Best chance ya Tekno kushinda tuzo hizo imeonekana baada ya tetesi za kuonekana yeye pamoja na Drake Last yer 2017 na zikisema kwamba wawili hao wanaanda project ambayo itatoka baadaye, huku watu wakiwa na maswali ya Tekno kusigniwa Ovo.


EmoticonEmoticon