Baddest Female Rapper na Hitmaker wa Chun-Li Nicki Minaj ametangaza tarehe kamili ya Album yake kuingia sokoni na jina kamili baada ya ku appear kwenye Met Gala New York City siku ya Jumatatu.
Kwenye mahojiano Nicki alifunguka na kusema,“It’s a big night for me because I just let the world know that my album is coming on June 15, and it’s called Queen, and I can’t wait,”
Akimaanisha jina la Album yake itaitwa Queen na itangia sokoni June 15.
Ngoma ambazo zimeshatoka na zinapatikana katika Album ya Queen ni Chun-Li pamoja na Barbie Tingz na pia zina video zote.New Nicki Minaj album titled #Queen drops June 15th! She announced at #MetGala Get your coins ready! pic.twitter.com/FEK0Jmaei5— Matt Maraj (@MattTingz) May 8, 2018
EmoticonEmoticon