Kwa mujibu wa The Record Industry Association Of America (RIAA) wameeitangaza ngoma ya Chun-Li ya Nicki Minaj kuweza kufikia mauzo ya GOLD (500,000)Units.
Kupitia account ya Instagram Nicki ameweza kuishukuru team yake na mashabiki kwa kuandika," Chun-Li has been certified GOLD. Thank you to everyone for your support. 🙏🏾 got on the mic & made this song up in 5 mins just having fun @ 4 in the morning. Then took about an hour to put words to the melody. Released it 2 days later. We captured it all on video. Thinking about putting that part of the documentary out early so you guys can get a real glimpse into my world. Love you so much & can’t wait to share this album with all of you who’ve waited so patiently & been so supportive. 🎀🦄
Love my team: " na ku tag watu kibaoJambo kubwa pia alilolizungumzia ni kuhusiana na Documentary yake ambayo itakuja na itakuwa imeongelea mambo mengi sana kumhusu.
Chun-Li ni moja kati ya ngoma zitakazopatikana katika Album mpya ya Queen ya Nicki Minaj inayotegemewa kuingia sokoni August 10 mwaka huu ambayo terehe hiyo ilikuja baada ya mzigo ku pushiwa.
EmoticonEmoticon