TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Ujio Mpya Wa Bow Wow,Atangaza Album.Aandika Haya

Bow Wow is ready for a rebirth.


Rapper Bow Wow ametangaza ujio mpya wa Album ambayo ameipa jina la Edicius ambayo ina maana ya Suicide,maneno yamegeuzwa.

Kupitia account yake ya Twitter ameandika,"Nimeamua kuiita Album yangu Edicius its Suicide backward inamaanisha kujirudisha mwenyewe kwenye kitu,Jina linawakilisha uhaba, kurudi kwa zaidi hata baada ya kifo.Left the Old Me and Woke Up New Me" 

Related Posts


EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng
:lv