Msanii The Weeknd baada ya kutoa EP yake ya My Dear Melancholy march 30,Right now imefanikiwa kuingia katika chart kubwa za muziki Billboard nafasi ya 1.
Kwa mujibu wa Billboard wameripoti EP hiyo mpaka week kukamilika ambapo itakuwa April 5 itakuwa imeweza kuuza mauzo kati ya 150,000 ambayo itakuwa album iliyoongoza na kufanya vizuri kuliko nyingine kwa muda huo na kukamata nafasi ya kwanza 1.
My Dear Melancholy EP ina ngoma 6, na mwanzoni taarifa hizo zilianza kuzagaa mtandaon kabla ya msanii huyo kutoa majibu sahihi bt mwisho wa siku alitoa majibu ambapo watu walitumia masaa kuisubiri EP hiyo.
Let's Wait & See itafikisha mauzo:
EmoticonEmoticon