March 20 amezaliwa mwanadada Jokate Mwengelo ambapo ametimiza miaka 31 siku ya jana.
Msanii Diamond Platnumz ameatumia account yake ya Instagram kuandika ujumbe wa kum-wwish Jokate siku ya kuzaliwa kwa kuandika,"Happy Birthday kate... wewe ni Mwiongoni mwa Wanawake wenye Akili na Busara ambao Tumebarikiwa Tanzania...You are the #AfricanBeauty 🔥🔥"
EmoticonEmoticon