Watu wengi wameshangazwa na picha za Jay-Z & Beyonce kwenye Boda Boda wakiwa maeneo ya Uswahilini kutokana na hadhi ya wasanii hao, lakini ukweli ni kuna jambo linaloendelea kati ya wawili hao
Kwa mujibu wa mtandao wa Mitandao mingi imeeleza kuwa picha hizo za wawili hao wamepiga nchini Jamaica kwenye utengenezaji wa scene ya ziara yao ya kimuziki ya OTR II.
Kwa upande mwingine, mbali ya kutangaza tour yao ya pamoja kwa mara ya pili kuna tetesi kuwa wawili hao huenda wakaachia albamu ya pamoja siku za usoni.
Ziara hiyo ya On The Run II (OTR II) itaanzia katika mji wa Cardiff nchini Uingereza ifikapo Juni 6, 2018 na kumalizika Oktoba 2, mwaka huu katika mji wa Vancouver, nchini Canada ambapo itazunguuka zaidi ya miji 35 duniani.
EmoticonEmoticon