TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Rick Ross Hali Yake Sio Nzuri,Apumulia Mashine Za Life Support.Post Za Mastaa,Akiwemo Diamond,Lil Wayne,Fat Joe,Tyga Na Wengine

Rick Ross amekimbizwa hospitalini mida ya jioni ya leo March 2 2018 baada ya polisi kupigiwa simu kuhusu msanii huyo kupata matatizo ya kupumua na kupoteza fahamu.

Polisi wamepokea simu mida ya saa tisa na nusu usiku kwa saa za Marekani na kwenda kumchukua rapa huyu na ambulance na kwa sasa yupo hospitalini akipata matibabu, wanasema anasumbuliwa na pneumonia.

UPDATE:Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, umeeleza kuwa Rick kwa sasa amewekewa machine za kupumulia za Oxygen ili kumsaidia aweze kukaa sawa na kupambana na tatizo hilo la pneumonia katika hospitali ya Cardio Unity huko Miami.

Kwa  mujibu wa TMZ wameandika ni Ishara ya wazi kwamba hali ni mbaya sana mpaka mtu kufikia hatua kwa kutumia Life Support.

POST ZA MASTAA MBALIMBALI KATIKA KUMTAKIA RICK ROSS HALI NJEMA NI PAMOJA NA HAWA HAPA
A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on






EmoticonEmoticon