TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Jeezy Atangaza Kuachia Mike Kwenye Muziki (Rap Game) But Ni Baada Ya.....

Jeezy is hanging up the mic.

Rapper Jeezy ametangaza kuachia mike kwenye rap game baada ya kutangaza album yake ya mwisho ambayo ni Thug Motivation 104 (TM104) kwa mashabiki kupitia account zake za kijamii.

Jeezy ameandika katika Twitter na Instagram,"As the Cold Summer tour comes to a end.. It was inspiring seeing my day one fans since my first album & class TM 101 come out every night. Now class is coming to a end. It's time for Graduation! My Last Album & Final Class: TM104 -#TrustYaProcess,"


Safari ya Jeezy ilianza kutambuliwa mwaka 2001 baada ya kutoa Album ya Thuggin Under The Influence(T.U.I) na kukaa kwenye game mpaka right now kufikisha umri wa miaka 40 akiwa na Album 8 pamoja na mixtape 16.

Album yake ya mwisho Pressure ilifanya vizuri mpaka kufikia Nafasi ya 6 kwenye chart za Billboard 200, ambayo ilikuwa imewashirikisha wasanii kama,Wizkid, Kendrick Lamar, J. Cole, Puff Daddy, na 2 Chainz.

He's yet to announce the release date for the project but we'll keep you posted. 


EmoticonEmoticon