TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Huyu Ndyo Mnyamwezi Mpya Anayeroll Na Tinashe Right Now

Mwanadada Tinashe na Mpenzi wake mpya star wa NBA Ben Simmons wametangaza mahusiano yao rasmi March 21 kupitia account zao pamoja za Instagram.

New couple hizo zimeshare picha mbili katika accont zao za Instagram ambapo kwa upande wa Star huyo wa NBA ameandika caption This is a dime I can’t pass, huku upande wa Tinashe akiwema emoji ya Love na kufuli katika picha hizo mbili.
A post shared by TINASHE (@tinashenow) on

Tinashe anategemea kutoa Album yake Joyrider iliyosubiriwa kwa muda mrefu Soon April 13


EmoticonEmoticon