Allow JAY-Z to reintroduce himself to the No. 1 spot on the Forbes Five
Leo March 1 Jarida la Forbes wametoa Orodha ya Top 5 ya wasanii 5 wa Hip Hop wanaoingiza mkwanja mrefu zaidi Duniani.
Forbes inamtaja JAY-Z kama msanii wa HipHop mwenye pesa nyingi zaidi akichukua nafasi ya kwanza iliyokuwa ikishikiliwa na P Diddy toka mwaka 2011.
JAY-Z anatangazwa kuwa msanii wa hiphop mwenye pesa nyingi zaidi baada ya mke wake Beyonce November 2017 kutangazwa kuwa mwanamke kwenye burudani anayelipwa pesa nyingi zaidi.
Utajiri wa JAY-Z unatokana na mapato ya biashara ya muziki kupitia TIDAL, Mauzo ya Album, Tour zake za muziki, lebo ya Roc Nation, na vinywaji viwili ambavyo ni Armand De Brignac na D’Usse Cognac.
Utajiri wa Diddy unatokana na Revolt Network, kipindi cha The Four Na Ciroc Vodka.
FORBES 5: HIP-HOP’S WEALTHIEST ARTISTS 2018
1. JAY-Z – $900 million
2. Diddy – $825 million
3. Dr. Dre – $770 million
4. Drake – $100 million
5. Eminem – $100 million
2. Diddy – $825 million
3. Dr. Dre – $770 million
4. Drake – $100 million
5. Eminem – $100 million
EmoticonEmoticon