February 3 Ikiwa ndyo mara ya kwanza God's Plan ya Drake kuzama katika chart za Billboard Hot 100 mpaka leo imeeendelea kushika nafasi ya kwanza bila kutiririka kwa muda wa Week 8 mfululizo.
Kwa mujibu wa Nielsen music wameripoti kwa week ambayo ilikuwa imeisha March 15 ngoma hiyo ilisikilizwa mara 72.9 million U.S. ambapo imeifanya ngoma hiyo kuendelea kukamata nafasi 1 kwa week inayofuata.
EmoticonEmoticon