Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza rasmi leo February 28, 2018 marufuku kwa vyombo vya habari nchini kupiga nyimbo 15 za bongofleva ambapo mamlaka hiyo imedai kuwa nyimbo hizo hazina maadili.
Taarifa iliyotolewa na Mamlaka hiyo inaeleza kuwa ilipokea orodha ya nyimbo hizo kutoka kwa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) ambalo limeeleza kua nyimbo hizo ni kinyume na maadili na kanuni za Huduma za Utangazaji (Maudhui) 2005.
TAZAMA AGIZO NA NYIMBO ZILIZOFUNGIWA
EmoticonEmoticon