TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Hii Ngoma Ya Cardi B Imefanikiwa Kufikia Mauzo Ya Gold.Alichokiandika Cardi B

Cardi B has another reason to party.

Female Rapper Cardi B anafurahia kwa mauzo ya Gold(500,000) yaliyofikishwa na ngoma yake ya Bartier Cardi aliyomshirikisha 21 Savage.Mauzo hayo ni kwa mujibu wa Record Industry Association Of America(RIAA)

Kupitia account yake ya Instagram amewashukuru mashabiki na kuahidi video ya ngoma hiyo itakuja hivi karibuni,"Thank you everybody,Music Video coming soon..You know you wanna party with Cardi.”Aliandika Cardi


EmoticonEmoticon