Culture 2 ilitoka January 26 na right now imefanikiwa kufikia kiwango kikubwa cha mauzo katika chart za
Billboard kwa kuuza copy 199,000 mwisho wa week ambayo ilikuwa February 2 kwa mujibu wa Nielsen Music Last Album ya Migos Culture 1 ilifanikiwa kuingia katika chart za Billboard 200 kwa mauzo ya copy 131,000 ambayo sio makubwa kama ya album hii ya 2.
February 6 full chart ya album itakuwa tayari imeshawekwa katika website ya billboard chart.
EmoticonEmoticon