Msanii Wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ametoa onyo kwa watoto wake wawili wakiume,
Nillan & Daylan kuhusiana na watakapokuwa wasimletee wakwe Vijuso na endapo watamletea basi watamsikitisha sana.Onyo hilo amelitoa katika account yake ya Instagram ambapo baadhi ya aliyoandika ni,"Pamoja na Uzuri Mliorithi toka kwa Mama zenu halaf Mkaenda kuniletea Wakwe Vijuso....Dah Mtanisikitisha sana..."
EmoticonEmoticon