Looks Like Mwaka Wa Taylor Swift.
Akiwa anakamata Record ya mauzo makubwa kwa mwaka 2017 ya kuuza Album yake kwa Week ya kwanza,Taylor Swift Nyota yake imezidii kung'aa na kufungua mwaka na Good News katika chart kubwa za Billboard 200.Kwa mujibu wa Nielsen Music wametoa mauzo ya mwisho wa week ya Album iliyouza kuelekea kufunga mwaka na Reputation imeonekana kuuza copy 107,000 na kuitoa Album ya Revival ya Eminem katika nafasi ya kwanza ambayo imefanikiwa kukaa kwa muda wa week 1 only.
Reputation ni Moja kati ya Album iliyofanya vizuri kwa mwaka 2017 kwa kukaa katika chart za Billboard 200 kwa muda wa week 4 na The Weeknd na Album ya Starboy
Ed Sheeran amefanikiwa pia kufanya mauzo mazuri kwa week ya mwisho wa mwaka kwa Album yake ya Divide kufikisha mauzo ya Copy 92,000 na kukamata nafasi ya 2.
Project ya Huncho Jack ya Travis Scott pamoja na Migos Quavo imefanikiwa kukamata nafasi ya 3 kwa kufikisha mauzo ya Copy 90,000 huku Album ya Eminem Revival ikidondokea nafasi ya 4 kwa mauzo ya copy 84,000.
EmoticonEmoticon