Trending mitandaoni Right now ni swala zima la Breezy ku-Freestyle akiwa chooni katika haja kubwa na kujichukua video kisha kuitupia katika mtandao wake wa kijamii.
Breezy katika video ameonekana amevaa T-shirt na Supreme boxer huku amekaa kwenye choo anaimba,“Ooh, bitch, what it is? / Fuck it up, gon’ take a shit,Hope the water don’t touch my dick!”
Caption ya video ameandika,"😳😂😂😂😂😂😂😂 Hope da water don’t 💦 2018"
Tazama Video hapo chini.
— Mulla Star (@mullastar255) January 8, 2018
EmoticonEmoticon