Female Rapper Young MA ameconfirm taarifa zilizokuwa zimeenea za watu kusema kuwa amepungua uzito right now sio kama hapo awali.
Kupitia account yake ya Instagram ambayo right now amebadili jina na anatumia @youngma amesema kwamba, "Kwa wale wote mnaendeleakusema nimepungua uzito,ndiyo nimepungua na nimeacha kula vyakula vya nyama,(beef, pork, chicken, turkey, lamb...) na pia nimekuwa Gym nikifanya mazoezi ya kupunguza uzito kwa muda wa miezi 2".Ni baadhi ya Aliyoandika MA kwenye account yake ya Instagram.
Tazama Picha na Post Aliyoandika Chini Kabisa
POST YA MA KATIKA INSTAGRAM
EmoticonEmoticon