Trending Right now ni kuhusiana na ngoma ya Davido Fia ambayo imeonyesha kuwa na mafanikio makubwa na kuibamba kila pande za Dunia na kuwafikia mpaka mastaa wakubwa akiwemo Drake na Rapper Wale.
Kupitia video video iliyopo kwenye account ya Davido Instagram inamuonyesha Wale pamoja na Drake wakisikiliza ngoma ya Fia ambayo ilikuwa moja kati ya Mkono wa Drake ulihusika katika Playlist hiyo huko LA siku ya jumapili January 7.
But hiyo sio mara ya kwanza kwa Wasanii wakubwa kuimba ngoma yake cs R.Kelly pia ameshafanya jambo kama hilo,But hiyo itakuwa kama moja ya njia ya kuendelea kumpatia Davido Collabo kubwa kutoka Unyamwezini
Wizkid Pia ngoma yake iliweza kuhusiaka katika Playlist ya Drake ambayo inaitwa Show You The Money
EmoticonEmoticon