TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

DIAMOND PLATNUMZ AONYESHA JENGO LA OFISI MPYA ZA RADIO & TV ZA WCB

Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz ameonjesha video fupi ya baadhi ya maeneo ya jengo la ofisi mpya ya studio ya muziki ya WCB Wasafi na Studio zinazoashiria mpango wa kufugua kituo cha matangazo ya radio na Tv.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond alipost kipande kifupi cha video kinachoonesha jengo la kisasa, baadhi ya vifaa vya muziki na vifaa vya uendeshaji masuala ya matangazo ya redio na Tv na kuandika kuwa hilo ndo jengo jipya la makao makuu ya ofisi.
Kupitia Account yake ya Instagram ameweka video na caption aliyoandika,"NEW YEAR!! NEW HEADQUARTER!!!!....Trust Me! You ain't see Shit Yet😴!...... #WCB4Life ðŸ”¥ðŸ”¥ðŸ”¥"



EmoticonEmoticon