TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

BRUNO MARS, CARDI B, SZA, & LOGIC NA Full List Watakao Perfome Tuzo Za Grammy 2018


Grammy wametoa List ya watakao Perfom katika Tuzo za 60th Annual Grammy kwa mwaka 2018.

Bruno Mars Na Cardi B wata Perfome latest ngoma yao ya Finess 

Luis Fonsi na Daddy Yankee wataperfome ngoma ya Despacito huku SZA pia akiwa katika stage pia amepewa nafasi yake ya ku perfom

Logic, Alessia Cara na Khalid wata perform ngoma ya 1-800-273-8255,
60th Annual Grammy Awards ziikiwa Hosted by James Corden zitafanyika Madison Square Garden ndani ya New York City Jan. 28 na kurushwa katika kituo cha Television cha CBS 


EmoticonEmoticon