Amber Rose ambaye ni Girlifriene wa Rapper 21 Savage
amethibitisha kuanza taratibu za kupunguza maziwa yake baada ya kulalamika July mwaka jana kuwa yalikuwa yakimsumbua na kuwa mazito sana.
amethibitisha kuanza taratibu za kupunguza maziwa yake baada ya kulalamika July mwaka jana kuwa yalikuwa yakimsumbua na kuwa mazito sana.
Amber alisema mwaka jana kuwa anataka kufanyiwa upasuaji huu ila anaogopa makovu yake na aliomba ushauri kutoka kwa mashabiki zake.
Kupitia video iliyopo kwenye account yake ya Instagram Doctor wake amekubali kumfanyia jambo hilo na unaweza ukaitazama video hapo chini.
EmoticonEmoticon