Kwa mujibu wa mtandao wa Apple Music mashabiki wengi walikuwa wanategemea Album ya Diamond Itadondoka January 12 bt right now imekuwa sio kama watu wanavyofikiri cs Chibu amepush mzigo huo kwa mujibu wa mtandao huo huo.
Post Before
Kwa mujibu wa Apple Music Album ya Diamond, Aboy From Tandale inategemewa kuingia sokoni February 23 mwaka huu
Taarifa bado hazijajulikana kwanini Diamond amefikia uamuzi wa ku push Album mbele cs hakuna Update zozote katika mitandao yake ya kijamii mpaka right now
Ngoma ambazo zipo out mpaka right now na zinapatikana katika Album unaweza kuzisikiliza hapo chini.
EmoticonEmoticon