Moja kati ya mambo ambayo hayatokufikisha katika mafanikio yako ni pamoja na kukata tamaa cs Female Rapper Cardi B ni mmoja kati ya wasanii waliotaka kukata tamaa baada ya kukutana na jambo kubwa akiwa kwenye safari yake ya music
Kupitia Instagram Live mwanadada Cardi B amefunguka na kusema moja kati ya jambo hatokaa alisahau na lilitaka kumfanya akate tamaa katika game yake ya music ni kukataliwa kufanya ngoma moja na ma mc wakali ambao alikuwa amepewa nao collabo na kuonekana yeye bado ni mchanga kwenye game.
Cardi B anasema,"Nilifanya verse kwenye ngoma ya mtu na artist wengine walikuwa pia wameshirikishwa kwenye ngoma na nlikuwa so excited kwasababu nlijua my verse was so poppin,bt mmoja wao akaniambia siwezi kuwa kwenye hiyo ngoma kabisa kwasababu msanii mwingine aliyeshirikishwa kwenye hiyo nyimbo ameona wewe bado ni mdogo(underground) na hao ni wana majina makubwa zaidi yako so hawawezi kuwa kwenye ngoma moja na wewe".
Cardi B hakukata tamaa That's why Right now yupo hapa alipofika na amekuwa ni mmoja kati ya wanadada wenye mchango mkubwa sana kwenye game ya Hip Hop na ni mwanadada Pekee kwa mwaka huu wa Hip Hop kukamata Nafasi ya kwanza Billboard kwa ngoma yake ya Bodak Yellow kwa muda wa Week 2 mfululizo,ameongoza katika vinyang'anyiro vya tuzo na kushinda akiwa na Untouchable Rappers na ameshaandaa ngoma na Beyonce bt December 22 anategemea kuleta "Bartier Bardi" akiwa na Rapper 21 Savage.
EmoticonEmoticon