TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Ngoma Zinazopatikana Katika Album Ya Vanessa Mdee Na Itatoka Mwakani.Tazama Tarehe

Baada ya mwanadada Vanessa Mdee kuzama katika Lebel Ya Universal,mambo yake pia yamebadilika ikiwemo tarehe ya kutoa Album ambapo ilikuwa inategemewa kutoka kabla ya mwaka kuisha kwenye December 20 bt Right now imesogezwa mpaka mwakani.

Vee Money ametoa Tracklist zinazopatikana katika Album yake ya Money Mondays ambayo imecontain ngoma 16 na  ngoma 2 za Bonus zikiwa zimekamilisha List ya Ngoma 18
Ngoma ambazo zipo Out mpaka right now na zinapatikana katika Album ni pamoja na Kisela, Cash Madame, Bounce, Nobody But Me na Juu.

Album ya Vanessa Mdee inategemewa kuingia sokoni 15 January 2018 na unaweza ku Pre-Order Right Now Kupitia Boomplay



EmoticonEmoticon