TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Itazame Video Ya Jay-Z na Familia Yake Wakicheza Kwaito (VIDEO)

Sio kwa Africa tu wanajua muundo huu wa kwaito hata kwa wenzetu  nao wanajua muundo huo wa kucheza muziki.

Nimekinyaka kipande cha Jay-Z akiwa na familia yake,Beyonce,mama yake Beyonce na ndugu wengine wakicheza muundo huo wa ngoma ya kwaito.Unaweza kuitazama video hapo chini.


EmoticonEmoticon