Ngoma ya 3 katika album ya Revival ya Eminem ambayo inaitwa River,Ed amefunguka kwamba aliiandika ile ngoma bt hakutegemea kama ingeweza kutoka na kuwa katika album ya Eminem na alikuwa ana ndoto za siku moja kufanya kazi na Eminem
Kupitia Beats One Apple Music Radio alishafunguka na Kusema Favorite Artist wake anaowakubali ni Eminem Pamoja na Beyonce na Wote hao ameshatimiza ndoto za kufanya nao kazi.
Ed Sheeran amefunguka na kusema, “Ni nyimbo ambayo sikujua hata jina lake litaitwaje,Nlikuwa katika safari yangu ya Australia na nikapata email toka kwa Manager wa Eminem inayosema, “tutatoa album ya pamoja so tuma idea”but kwenye mawazo yangu nlishawaza siku nikipata nafasi ya kufanya kazi na Eminem nitafanya hivi,so nlikuwa na idea kubwa sana ntakavyofanya,nlifanya kila kitu mpaka kurekodi na nikatuma nyimbo bt sikupata feedback zozote,Ilikuwa March 2016,Bt May 2017 nlikuwa Mexico na Producer wa Eminem akanifwata na kuniambia nimefanya some staff katika ngoma uliyoiandika ya River,nikamwambia utanitumia,akaniambia hapana,Eminem tayari kashafanya Verse yake,and I was Like wha!!!!!”
Album ya Eminem Revival inategemewa kuingia sokoni December 15
EmoticonEmoticon