TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Wasanii 5 Wa Africa Waliofanikiwa Kupata Shavu Kwenye Project Mpya Ya Jidenna

Classic Man Jidenna ametokea kuvutiwa sana na tamaduni ya Africa hasa kwa upande wa vipaji vilivyopo katika game ya music kwani ameweza kuwachukua wasanii 5 toka Africa na kuwashirikisha katika project yake mpya inayokuja.
Msanii Jidenna ametoa Cover ya Ep  yake inayojulikana kwa jina la Boomerang pamoja na Tracklist ambazo zimecontain wasanii aliowashirikisha kwenye project hiyo akiwemo,Tiwa SavageMaleek BerryBurna Boy , Wale pamoja na Sarkodie wa Ghana
 EP Ya Boomerang bado haijajulikana ita Land sokoni muda gani bt ni kabla ya mwaka kuisha.


EmoticonEmoticon