TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Jay-z Asimamisha Shoo Kuongea Haya Kwasababu Ya Meek Mill,Tazama MUG SHOT Ya Meek Mill (VIDEO & PICHA)

Swala la kifungo cha Rapper Meek Mill limetokea sana kumuumiza Jay-z kuliko ma Rapper wengine japo nao waliandika na kusema yao katika mitandao yao ya Kijamii.

Siku ya Jumanne Jigga akiwa katika Tour yake huko Dallas,alisimamisha yake na kuanza kuongea na mashabiki juu ya swala la rapper huyo aliyepewa kifungo hicho cha miaka 2 hadi 4.

Jay-z anasema,"Nataka kusema kitu kuhusiana na Meek Mill alikamatwa akiwa na miaka 19 na right now ana miaka 30 na amekuwa chini ya uangalizi(uchunguzi) kwa muda wa miaka 11,Fucking 11 years,na now amepatiwa miaka 2 hadi 4 kwasababu ya kukamatwa akiwa anaendesha pikipiki na fucking wheelie"
Picha ya Meek Mill MUG SHOT Unaweza kuitazama Hapo chini.Enjoy 


EmoticonEmoticon