Japokuwa producer wa Cardi B alionyesha matengenezo ya Audio ya Cardi B pamoja na Beyonce,Cardi B ameshut down tetesi hizo kuhusiana na mchongo huo bt amefunguka mengi pia kuhusiana na kuvishwa pete na Offset wa kundi la Migos
Cardi B amefunguka kuhusiana na Collabo yake na Beyonce kwa kusema,"Sijui tetesi hizo zinatoka wap,people are crazy,watu wanaanzisha uvumi na kufanya mambo"
Kuhusiana na Jambo la kuvishwa pete na Offset kwenye Stage last Weekend kwenye shoo mbele ya Crowd,
Cardi alisema,"Nilishangaa sana walivyoniambia nipande stagini na walikuwa kundi zima la Migos na nikashangaa kwanini wote wananiambia twende na sijafanya nao ngoma bt nikajua labda ni kwenda ku perfome Mortal Sport ambayo ndyo tumefanya pamoja,bt nlipopanda kwanza kwenye stage nikamwona mama yangu mpaka nikajiuliza nini kinaendelea na ni nini anafanya hapa?"
Aliendelea kufunguka na kusema kwamba Offset alivyomchukua na kushuka chini kumvalisha Pete hakusikia alichokuwa anamwambia cs kulikuwa na kelele na alichokuwa anaona tu ni Jesus Christ na "Nikasema Yes Yes Yes,"
EmoticonEmoticon