Another birthday, another name
Diddy ameamua tena kubadilisha jina lake katika Birthday yake ya kutimiza miaka 48 ambayo alifikisha November 4 bt majina yake ya hapo awali alikuwa anajulikana kama Puff Daddy, Puffy, P. Diddy, na Diddy.
Kupitia video Diddy anasema,"I know it’s risky bt nimeamua kubadilisha jina langu tena,mi sio yule niliyekuwa hapo awali mi ni tofauti kabisa,so jina langu jipya ni Love aka Brother Love na sitaitikia tena jina la Puffy, Diddy, Puff Daddy au majina yangu mengine"
Kupitia Account yake ya Instagram ameandika,"I did it again BREAKING NEWS!!!! MY NEW NAME IS LOVE OR BROTHER LOVE!!! Or NOTHIN! HAPPY BIRTHDAY TO ME!!!"DIDDY CHANGES HIS NAME TO.........@diddy ameamua kubadilisha Jina Lake.Tazama Hapa anaitwa Nani?https://t.co/zjA6CYXkra pic.twitter.com/ubXJsDMZCZ— Mulla Star (@mullastar255) November 5, 2017
Katika kusheherekea Birthday yake hiyo ilihudhuriwa na watu kadhaa akiwemo rafiki yake Patner wake ambaye ni French Montana anayetarajia kufikisha miaka 32 Nov 9 ambayo ndyo B.day yake.
EmoticonEmoticon