Model Blac Chyna baada ya kutemana na Rob Kardashian kumekuwa na Headlines na tetesi zake kwamba anatoka na watu tofauti bila kuwepo na full evidence bt Right now kuna new Headlines ya ku catch
Headlines right now zimemkamata Blac Chayna na Rapper Playboy Carti ambao wamesemekana wanatoka pamoja na hii ni kutokana na ukaribu wao wa muda toka aachane na rob.
Katika account yake ya Snapchat wameonekana pamoja katika video aliyopost weekend hii huku akiwa amevalia cheni ya rapper huyo na wapo pamoja katika gari.
EmoticonEmoticon