Zikiwa zinangojewa Project 3 za Lil Wayne kudondoshwa muda wowote,ikiwemo Carter V,Funeral na Dedication 6,Right now kuna Headlines za mzigo mmoja kati ya hiyo ku dondoka ndani ya mwezi huu.
Kwa mujibu wa manager wa Weezy, Cortez Bryant ametoa update katika Live Instagram na kusema kwamba project ya Dedication itadondoka ndani ya mwezi huu.
Kupitia Instagram Live anasema,“Maybe D6in November,Not December. That’s too long.”
@CortezBryant trolling us @LilTunechi fans sayin #D6 November....Not December thats too long😭 pic.twitter.com/e0pcWkN04d— A$AP Retro (@Retro_CodChamp) November 13, 2017
EmoticonEmoticon