TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Drake Asimamisha Shoo Na Kumtukana Shabiki Aliyekuwa Anashika.....(VIDEO)

Rapper Drake akiwa anaperfome after party katika club moja,Aliamua kusimamisha shoo na kumtolea maneno makali shabiki aliyekuwa anashika shika watoto wa kike waliofika kwenye club hiyo wakiangalia perfomance ya Drake.

Drake alimwambia shabiki,"If you don't stop touching girls, I'm gonna come out there and fuck you up,Drake alikuwa akiongea huku akimwangalia shabiki huyo na kurudia tena "If you don't stop putting your hands on girls, I'm gonna come out there and fuck you up."


EmoticonEmoticon