Kama kawaida mwisho wa mwaka unapofika zinakusanywa Data maalumu za muziki katika website mbalimbali na kwa mujibu wa Jarida la Rolling Stone kwa upande wao wameshamaliza Details zao za kukusanya mauzo na ubora wa Album 50 zilizofanya powa kwa mwaka huu 2017 na huwa ni kawaida yao kila mwaka kuleta Album 50 bora.
Nimekuwekea Album 10 tu zilizofanya powa kwa mwaka 2017
1. Kendrick Lamar – DAMN.2. Lorde – Melodrama
3. U2 – Songs of Experience
4. Kesha – Rainbow
5. LCD Soundsystem – American Dream
6. Khalid – American Teen
7. Taylor Swift – Reputation
8. Queens of the Stone Age – Villains
9. Migos – Culture
10. Sam Smith – The Thrill of It All
STORY KWA NJIA YA PICHA NA SAUTI
EmoticonEmoticon