Does Chris Brown have a new flame?
Chris Brown anaandamwa na skendo za kutoka na mwanadada Agnez Mo toka Indonesian ambaye ameshafanya ngoma kama Long As I Get Paid ya mwaka huu na nyingonezo na anafanya muziki wa Pop.
Kilichowashangaza mashabiki ni kwamba,Breezy amekuwa akipost picha za mwanadada huyo toka Last week kabla ya taarifa zake za karibuni ambazo zinasema kwamba wanaandaa Collabo.
Breezy ameandika katika account yake ya Instagram,"@agnezmo 🔥🙏🏽 got some dope shit cooking"
STORY KWA NJIA YA SAUTI NA PICHA
EmoticonEmoticon