TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Nicki Minaj Afunguka Kuhusiana Na Album Yake (VIDEO)

Toka mwaka 2014 mpaka right now mwanadada Nicki Minaj anasubiriwa kuleta mzigo mpya wa Album toka kwa mashabiki bt ameweza kufunguka update kuhusiana na album yake ambayo ipo njiani na anaifanyia kazi.

Nicki Minaj akiwa anatoka katika fashion show aliwaambia mashabiki kuhusiana na Album yake ijayo kwa kusema,Oh, the album. Oh my God! The album is so fuckin’ good!


EmoticonEmoticon