TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Drake Arudi Studio.Stay Tune

Drake is back in the booth, and no one is safe.

Rapper Toka Toronto Drake amewajulisha mashabiki zake kupitia ukurasa wake wa Instagram amerudi studio na ameshazama Booth kwaajili ya kuandaa Hit

Kupitia account yake hiyo ameweka picha na caption ya emoj ya yai (Egg) ambayo kwa wengi waliozoea kutumia emoj hiyo inamaanisha signal kwamba kuna kitu kinapikwa na kinakuja.
A post shared by champagnepapi (@champagnepapi) on
Stay Tune cs Everyone Knows How Drake is Going Down


EmoticonEmoticon