TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Gucci Mane Ame Push Album Iliyokuwa Inategemewa Ku Land Sept 15

Akiendelea kufanya powa na ngoma aliyoitoa ndani ya week hii Curve akiwa na The Weeknd Na baada ya Aug 18 kutangaza kudondosha Album yake Sept 15,Till right now hatujainyaka,kuna Headlines kwamba ame push mzigo huo.

Kwa mujibu wa mtandao wa Itune ambapo Album hiyo ilitakiwa kuwa Exclusive pale,wameripot kwamba album hiyo itachelewa mpaka October 13.

Hii itakuwa Album ya pili ya mwaka huu ya Gucci Mane baada ya DropTopWop ambayo ilitoka May.




EmoticonEmoticon