TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

FORBES | Orodha Ya Rappers Top 20 Wanaoingiza Mkwanja Mrefu 2017 (The World's Highest-Paid Hip-Hop Artists 2017) Alichokise Diddy Kipo Hapa Pia (VIDEO)

Sean ‘Diddy’ Combs ametajwa na Forbes kuwa mtu maarufu aliyelipwa zaidi mwaka 2017 akiwa ametengeneza dola za kimarekani milioni $130.

Mkwanja anaotengeneza Diddy umetokana na Ziara ya muziki ya Bad Boy Family, hisa zake kwenye kinywaji cha Ciroc vodka,Revolt(TV NETWORK)  pamoja na mauzo ya hisa za Brand yake ya nguo ya Sean John,alipokea dola milioni $70.

Alichozungumza Diddy baada ya kukamata Nafasi ya kwanza ni,"Kila siku naelewa kwamba kama ntawapa wateja vitu bora na kuwapa huduma tofauti kama muziki,nguo au vodka,nitavirudisha tu katika kufanya kazi kwangu kwa bidii"Aliiambia Forbes.

TAZAMA AKIFUNGUKA KINGINE


Rapper Drake pia ameweza kukamata nafasi ya Pili kwa kuingiza mkwanja kiasi cha Dola  $94 million ambazo zimetokana na mafanikio makubwa ya Tour yake ya Boy Meets World Tour,” na nyingine ni kutokana na Deals alizo sighn kama Apple, Sprite, na Nike.

Rapper Jay-Z amefanikiwa kukamata nafasi ya 3 kwa kuingiza mkwanja kiasi cha Dola $42 million cs Jay-Z anazo Deal nyingi ikiwemo mtandao wake wa Tidal,Live Nation na Tour yake ya 4:44 ambayo anaifanya Right now inayosimamiwa na Puma ni moja kati ya vyanzo vinavyomfanya kushika nafasi hiyo.

TAZAMA FULL LIST HAPA

1. Diddy - $130 million
2. Drake - $94 million
3. JAY Z - $42 million 
4. Dr. Dre - $34.5 million
5. Chance the Rapper - $33 million
6. Kendrick Lamar - $30 million
7. Wiz Khalifa - $28 million
8. Pitbull - $27 million
9. DJ Khaled - $24 million
10. Future - $23 million
11. Kanye West - $22 million 
12. Birdman - $20 million
13. J. Cole - $19 million
14. Swizz Beatz - $17 million
15. Snoop Dogg - $16.5 million
16. Nicki Minaj - $16 million
17. Lil Wayne - $15.5 million
18. Macklemore & Ryan Lewis - $11.5 million (tie)
19. Rick Ross - $11.5 million (tie)
20. Lil Yachty - $11 million



EmoticonEmoticon