TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Alichokisema Swizzbeatz Kuhusiana Na Tanzania & Diamond Platnumz

Producer mkongwe Swizbeats amefunguka katika video yake instagram na kutoa shout Out kwa Tanzania pamoja na Diamond Platnumz kwenye party ambayo ilihudhuriwa na baadhi ya mastaa akiwemo Flaviana Matata.

Tazama video hapo chini na Alichoandika Diamond Platnumz
Alichokiandika Diamond Platnumz baada ya kuona video hiyo ni,"Doh! You guys make me want to fly to America now!😃.... see you on the 8th Oct, poppin @officialbelairechampagne day and night!! @therealswizzz@flavianamatata"  


EmoticonEmoticon